Utabiri juu ya Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL

Juwaine

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
624
Reaction score
170
Salaam sana wana JF!

Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi utabiri huu wenye uzito mkubwa sana hasa kwa wapenzi na wafuatiliaji wa English Premier League™, kwamba msimu huu unaoanza mwezi August Arsenal the Gunner aka Gööners ndio watakao twaa ubingwa.

Ahsanteni, tutakutana mwisho wa msimu.
 
mimi shabiki wa arsenal ila hakuna timu ya kuchukua ubingwa pale
 
Sema Arsenal atatetea ubingwa wake (top four)
 
Kuna nafasi ya kufanya vizuri kwakua kikosi kimekaa pamoja misimu miwili na zaidi ila nachelea kusema kwamba tunaweza twaa ubingwa!we need top striker top defensive midfielder na MTU Wa mwisho wa kazi mithili ya hummel
 
That's true broh wenger akifanya hizo sajili tutakuwa na nafasi nzuri ya kuchukua EPL kufika mbali UCL na kutetea kombe letu la FA
 
Kuna nafasi ya kufanya vizuri kwakua kikosi kimekaa pamoja misimu miwili na zaidi ila nachelea kusema kwamba tunaweza twaa ubingwa!we need top striker top defensive midfielder na MTU Wa mwisho wa kazi mithili ya hummel

Umenena hapo
 
Ha ha ha.. Ubingwa kwa striker gani pale, Giroud..? Acheni ndoto hizo mnatakiwa muwe na mfungaji na sio mbahatishaji Mkuu.. Unadhani kwa nini Chelsea walichukua ubingwa msimu uliopita..? Walikuwa na mfungaji.. Hata Man U unaona wameamua kufanya mabadiliko mwaka huu na Rooney ndo atakuwa striker pale na Rooney ni mfungaji..
 
Subiri uone matokeo
 
Ungetoa na sababu kwanini unawaza ivo ile kuijengea hoja utabiri wako...bt its ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…