Nimekuaaa arsenal muda mrefu sana this time august utaukumbuka huu uzi kaka
itakuwa furaha yangu arsenal ikichukua ubingwa ila i doubt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuaaa arsenal muda mrefu sana this time august utaukumbuka huu uzi kaka
Salaam sana wana jf
Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi utabiri huu wenye uzito mkubwa sana has a kwa wapenz na wafuatiliaji was epl(English premier league), kwamba msimu huu unaoanza mwezi August Arsenal the Gunner aka gööner ndio watakao twaa ubingwa.
Ahsanteni tutakutana mwisho wa msimu.
Kuna nafasi ya kufanya vizuri kwakua kikosi kimekaa pamoja misimu miwili na zaidi ila nachelea kusema kwamba tunaweza twaa ubingwa!we need top striker top defensive midfielder na MTU Wa mwisho wa kazi mithili ya hummel