Utabiri juu ya Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL


Nakuunga mkono
 
MIMI shabiki wa ARSENAL kama Wenger atamleta kiungo mkabaji na Striker basi tutakuwa na nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. ila kama hata sajiri tusahau ubingwa
 
Arsenal kuchukua ubingwa ???.....litaingia kwenye moja ya maajabu ya dunia.
 
Bado acheni iendelee kuwa ndoto mpaka mtakapopata goal getter mzuri sio mbugilambugila kama giroud ndo muanze kuota ubingwa.
 
Kuna nafasi ya kufanya vizuri kwakua kikosi kimekaa pamoja misimu miwili na zaidi ila nachelea kusema kwamba tunaweza twaa ubingwa!we need top striker top defensive midfielder na MTU Wa mwisho wa kazi mithili ya hummel

Acha kukariri.
 
Typically Arsenal fans..
Ten years and counting..
#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…