Habari wanaukumbi wa jukwaa hili Bora kabisa barani Afrika, bila ya kupoteza muda maana mambo ni mengi sana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Utabiri wangu ni kwamba KUB alimaarufu kama kiongozi wa upinzani bungeni atatoka katika chama Cha uongozi wa umma kwa ufupi CHAUMMA. Nini utabiri wako mwana jukwaa?