zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Una akili sana wwDiego Simeone
Tito,unaamanisha aliyekua kocha wa barcelona baada ya guardiola au,..kama ni huyo alifariki 2014 mzeeMassimiliano Allegri au Tito
Ndugu usilete hoja za mitaani arsenal ni timu kubwa uingereza na ulaya timu zinazo weza isumbua kungombania kocha labda Barcelona,real Madrid,psg,mancity na Chelsea tu.arsenal ipo top 10ya richest club's in the world .ktk premier league arsene ni mmoja ya makocha wanaolipwa zaidiKwanza mshukuruni Mungu mkimpata huyo simeon the best coach....lakini i know that hamumpati hata kwa dawa....ukiwaacha Wakina simeon, pep, zidane, mauricio pocchetino, allegri, waliobakia wakina anceloti, benitez,moyes and vangaal, hawa ndio wa saizi yenu wa low prices 😛😛😛
Mbona unatuchagulia wazee mkuu?Kwanza mshukuruni Mungu mkimpata huyo simeon the best coach....lakini i know that hamumpati hata kwa dawa....ukiwaacha Wakina simeon, pep, zidane, mauricio pocchetino, allegri, waliobakia wakina anceloti, benitez,moyes and vangaal, hawa ndio wa saizi yenu wa low prices 😛😛😛
Hafai. Huyu chelsea ndio inamfiti.Diego Simeone
The Blues watabaki na nini mkuu?N'golo kante bakayoko anafaaa sana kuipa ubigwa arsenal
Hatutaki wazee japo nimemuona leo uwanjani akizengea fupa, damu changa ndo inatakiwaClaudio ranieri
Mie nadhani Arsenal ni moja ya timu zinazovutia na inao mashabiki wa kutosha, sidhani kama wakimu-aproach Klopp wa Liverpool atakataa. Arsenal tuna wachezaji wa maana zaidi kuliko wa Liver. Klopp atapenda zaidi kuwafundisha.Pires, Henry au viera
Anaenda kufundisha ndondo ya kwao hukoNinamfuata Wenger anakokwenda