Utabiri kocha mpya arsenal

Utabiri kocha mpya arsenal

Kwanza mshukuruni Mungu mkimpata huyo simeon the best coach....lakini i know that hamumpati hata kwa dawa....ukiwaacha Wakina simeon, pep, zidane, mauricio pocchetino, allegri, waliobakia wakina anceloti, benitez,moyes and vangaal, hawa ndio wa saizi yenu wa low prices 😛😛😛
Ndugu usilete hoja za mitaani arsenal ni timu kubwa uingereza na ulaya timu zinazo weza isumbua kungombania kocha labda Barcelona,real Madrid,psg,mancity na Chelsea tu.arsenal ipo top 10ya richest club's in the world .ktk premier league arsene ni mmoja ya makocha wanaolipwa zaidi
 
Kwanza mshukuruni Mungu mkimpata huyo simeon the best coach....lakini i know that hamumpati hata kwa dawa....ukiwaacha Wakina simeon, pep, zidane, mauricio pocchetino, allegri, waliobakia wakina anceloti, benitez,moyes and vangaal, hawa ndio wa saizi yenu wa low prices 😛😛😛
Mbona unatuchagulia wazee mkuu?
 
Back
Top Bottom