Utabiri kocha mpya arsenal

Utabiri kocha mpya arsenal

Wengine wanasema arteta pia atatufaa coz pale city alipo anapata ujuzi mzuri tu kwa pep
even Arteta, bado anahitaji kuwa assistant kwa muda kabla ya kupewa ile timu, na hata Pep akiondoka pale City, bado anahitajika experienced manager wa kukaa juu yake ili Arteta aendelee kujifunza kwake
 
Back
Top Bottom