Ukweli mtupu.Naam, kambumbu itapigwa pale Mbalali kwenye Uwanja wa Mpunga, Ihefu akimualika Simba SC.
NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea kwa Ihefu nakupelekea kudondosha point tatu muhimu ndani ya uwanja wao/uwanja wa damu na jasho.
Utabiri huu maridhawa kabisa yatatokea makosa ya kibinadamu kwa waamuzi wetu na kukosa haki kwa timu ya Ihefu FC.
Matokeo yatakua tofauti na vile Ihefu watakavyodani kuwa uwanjani kwao hatoki mtu.
Mbumbumbu fc hujaona hayo matapu tapu yaliyofanyika.Mtoa mada akiangalia Simba ilivyokuwa ya moto kwa game zake nyingi anazoshinda anaamua kujizima data na kutengeneza DM ili hata Simba ilishinda ajitetee kwamba si nilisema hivi?.....hizo ni pigo za kike za kuwa na wivu bila sababu
Mwenye akili ni rage tu.HUNA AKILI
Baba lao kwa ligi kwa hayo magoli ya mchongo Israel mwenda kashika lakini refa kameza filimbi angalia motion ya mpira kabla ya goli la kwanza.Vipi Kaka umepotea baada ya maparachichi kuoza?. Njoo ubishane tena, Simba babalao.
Wewe umeonaje huo utabiri.Vp sheikh yahya?utabiri wako uliendaje jana!?
Kama wewe ukivyojaa makamasi kwenye ubongoKweli akili sio matako kila mtu anayo
Mbona leo umebadilisha mada madame? Juzi ulisema ihefu wataonewa hili halijatokea leo umebadili mada. Mara sijui suti ya kuazima sijui matako yamekuwa je? HuelewekiSiwezi kukimbia maana NALIA NGWENA najiamini sana na utabiri wangu maridhawa.
Sieleweki kwa kipi ?? Wewe ndiyo hunielew aise.Mbona leo umebadilisha mada madame? Juzi ulisema ihefu wataonewa hili halijatokea leo umebadili mada. Mara sijui suti ya kuazima sijui matako yamekuwa je? Hueleweki