Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Niliuliza kuhusu IHEFUNdiyo ihefu ni mbabe wa yanga aliyeifunga yanga Mara moja
Lakini yanga mbabe wa Simba aliyeifunga Simba zaidi ya Mara moja
Tukutane tar 19/4 kipigo maridhawa kipo pale pale bila yakupepesa macho tatu mzuka zinawafaa.