Utabiri: Mahakamani hamtasikia Lissu akisomewa shitaka la uhaini

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia.

Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa.

Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA pamoja na umma juu ya kusimamia utekelezaji wa kauli ya NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Tundu Lissu ni Mshindi kila wakati
 
Lisu ni mchochezi anatakiwa awe jela iwe fundisho
 
Mkuu, ulisema umeachana na shughuli za uganga wa kienyeji, sasa utabiri unafanyaje
 
Sasa LISSU mbona Huwa hatishiki.
 
Poor members and supporters of chadema wamebaki mtandaoni kutabiri!
 
Treason :The offense of attempting to overthrow the government of one's country or of assisting its enemies in war.
 
Sasa polisi uliwaona wanaakili timamu kweli?

Mtu uvae nguo zinazofanana na mimea utegemee kuwa na akili za wanyama
 
Polisi toka enzi hizo waliambiwa watosheke na mishahara yao na wasimshitaki mtu kwa uongo.

Hili linafanya kazi hata sasa

Luka 3
14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…