Mkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.Mh! Kutoa rushwa kununua wachumia tumbo wasio na msimamo ambao wanahaha huku na kule kutafuta shibe ni strategy ya kuigwa barani Afrika!? Bado tuna safari ndefu sana.
Huna lolote wewe kweli ikidhihiri ila hapa haki yako kuandika chochote kuonekaña shujaaHalafu huo ujinga wa kupiga wapinzani na kuwateka ,njoo mbeya mfanye ujinga huu .au 2020mje kuleta ujinga huo najua police hawatoshi shangilieni sana
Ikitokea tutakumbushana humu humu jamviniHaitotokea
Mkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.
She will surely come back stronger
Hide my ID please.....really she will come very very strongerMkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.
She will surely come back stronger
Mbona JF ina wakosoaji walioangusha mawaziri kibao na hakuna aliyewahi kuwa hacked?Umafia Mkuu mbele kwa mbele.
Sawa CCMHuu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Mbona JF ina wakosoaji walioangusha mawaziri kibao na hakuna aliyewahi kuwa hacked?
Awamu ya Dr Slaa!!Ilikuwa awamu ipi ile!?
Wema hajafuata taratibu za kurejea...naamini kabisa Mange atazifuataKama Polepole anamtimua huyo Wema sembuse Mange