Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

Mh! Kutoa rushwa kununua wachumia tumbo wasio na msimamo ambao wanahaha huku na kule kutafuta shibe ni strategy ya kuigwa barani Afrika!? Bado tuna safari ndefu sana.
Mkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.
She will surely come back stronger
 
Halafu huo ujinga wa kupiga wapinzani na kuwateka ,njoo mbeya mfanye ujinga huu .au 2020mje kuleta ujinga huo najua police hawatoshi shangilieni sana
Huna lolote wewe kweli ikidhihiri ila hapa haki yako kuandika chochote kuonekaña shujaa
 
Akili za mange anazijuwa mwenyewe mange mange kurejea ccm kama hatoweza licha ya akili zake kuzijuwa yeye mwenyewe!!
 
Umafia Mkuu mbele kwa mbele.

Mkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.
She will surely come back stronger
 
Tuombe uzima, hayo mengine ni ziada
 
Mkuu,nahisi wame hack account yake ya Instagram. Kwenye FB wamepost utumbo. Kwa vyovyote hawezi kuwa yeye.
She will surely come back stronger
Hide my ID please.....really she will come very very stronger
 
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Sawa CCM
 
2020 ccm tu ndiyo watakaopiga kura Tanzania. Labda wakipigana wenyewe kwa wenyewe watajua ukweli.
 
Hakuna jipya chini ya jua, ila yule akirudi ujue sio kwa ajili ya hofu, ni mshiko. Pia hafiki bei haraka kama dr slaa
 
Alisema akipewa ubalozi anahama! [emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mimi Baba Jesca ningempa ubalozi ata wa Benin Republic!
 
Back
Top Bottom