Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Dah...kisiasa atakuwa alikatwa kichwa....sijui kikazi itasemwaje...[emoji87]
 
Da' Mange yaani Simba wanaiogopa Yanga kweli, nimemsikia Manara akisema kuwa ubingwa safari hii utaenda tena Jangwani, Please hide my ID
 
Ntacheka sana ikitokea hivyo.
Kisha, nitaelewa what really is: POWER.
And how PETTY human beings are.
 
Halafu watamsamehe makosa yoye ya kimtandao?
 
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Its obvious.Mange hatabiriki.ataenda CCM..Hilo liko wazi sana
 
Hakuna jipya chini ya jua, ila yule akirudi ujue sio kwa ajili ya hofu, ni mshiko. Pia hafiki bei haraka kama dr slaa
Nani kakudanganya hafiki bei? Kila mtu ana bei yake isipokuwa lisu.
 
Huo sio utabiri huo ni uchawi tu asubuhi asubuhi,kwani Mange chama gani ???
 
Mh! Kutoa rushwa kununua wachumia tumbo wasio na msimamo ambao wanahaha huku na kule kutafuta shibe ni strategy ya kuigwa barani Afrika!? Bado tuna safari ndefu sana.
Angalia utanunuliwa pia na wewe!!
 
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
Itakuwa sio ajabu maana alikuwa huko
 
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.
KUMBE CCM MNAMPENDA MANGE NA KAZI ZAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…