Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...kisiasa atakuwa alikatwa kichwa....sijui kikazi itasemwaje...[emoji87]Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani Afrika na duniani.