Utabiri: Mange Kimambi kuomba msamaha na kurejea CCM!

Marekani kusikie hivyo hivyo!!
Waambie kaka, anaishi kwa hela ya serikali wanayompa sababu ana watoto! Ni ya kawaida sana sana...Mambo ya Instagram yasiwapagaishe kama vile anakula kuku ile mbaya, ni kama Sanchi tu, nenda kwao uone kulivyo, ila ukitazama picha za Insta utafikiri anaishi Hotelini tu!
Mjini hapa...
 
I agree ataenda, maana sikutegemea matusi aliyokuwa akiitukana chadema na lowasa kipindi cha uchaguzi siku1 angeweza kuwa upande wa chadema
 
Hivi hakuna mwanaume jf anayeweza kumuoa Mange na kumkata ngebe?
Watu wanamuogopa ama ni mjanja sana kama alivyokuwa 'bob tom' kuweza kukimbia kisirani cha utawala wa awamu ya kwanza baada ya kumkosakosa kumpindua Nyerere?
 
Na mimi ngoja niandike niwepo kwenye records. Mange ni CCM kwenye damu hata kama amechoma kadi na atarudi CCM dakika itayofedhehesha wengi .....huu uzi tutaufukua ikifika huu wakati ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…