jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Waambie kaka, anaishi kwa hela ya serikali wanayompa sababu ana watoto! Ni ya kawaida sana sana...Mambo ya Instagram yasiwapagaishe kama vile anakula kuku ile mbaya, ni kama Sanchi tu, nenda kwao uone kulivyo, ila ukitazama picha za Insta utafikiri anaishi Hotelini tu!Marekani kusikie hivyo hivyo!!
Mjini hapa...