Squad master
Member
- Feb 10, 2014
- 13
- 8
Habarini wana jf.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia tabiri za wachungaji mbalimbali hasa kwa miaka 3 mfululizo ingawa hata huko nyuma nilikuwa nikifuatilia. Mara nyingi watabiri wengi wamekuwa ni hawa wanaojiita manabii wa kikiristo wa makanisa ya kilokole. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu utabiri wao.
Wapo waliotabiri mambo na yakatokea kama walivyotabiri na wapo walio tabiri mambo yakatokea kinyume chake. Nikitafakari sana nakosa majibu kwanini watabiri wengi wawe ji makanisa ya kilokole tu? Je haya makanisa mengine hayana roho mtakatifu wa kuwapa huo unabii wa mambo yajayo au wanapewa unabii halfau hawausemi?
Je vipikwa upande wa waislam maana kwa waislam naona watabiri wengi ni wa mambo ya nyota na wanatabiri kwa kusoma nyota zaidi. Kwanini nao wasiupate unabii kwa kuletewa na roho wa Mungu? Pamoja na utabiri wote niliowahi kuuona au kuusikia sijawahi kuona utabiri juu ya uislam kama dini. Ila wengi wanaotabiri wanatabiri kuuzungumzia ukristo tu as if ndio dini pekee iliyopo hapa duniani. Je huyo roho mtakatifu hajawahi kuwaambia kitu kuhusu imani nyingine au wanaambiwa ila hawasemi ukweli?
Tusaidiane wajuzi juu ya ukweli huu. Karibuni.
Uzi huu sio wa mabishano ya kidini hivyo tujadili kwa nia njema tuujue ukweli juu ya utabiri unaotolewa na hawa manabii wa kilokole hsa.