Kenya 2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

Kenya 2022 General Election
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Unajua siasa za Kenya ama unaota Ndoto za Kigoma. Kenya Raila ndio ako na national wide support. Ruto anaumaarufu Rift Valley na Central tu na anategemea siasa za Ukabila na kuhonga Wafuasi wake. Huku Raila ameshikilia Nairobi, Mombasa, Pwani, North Eastern, Ukambani, Nyanza, Western na South Rift. Wakenya wanataka Kiongozi anaunganisha wakenya Kwa Amani sio Watu wa Ukabila na Ufisadi. Leo tukisema Wakenya wachague Rais bila mambo ya Uporaji Kura Odinga atamshinda Ruto Asubuhi na Mapema. Uhuru na Ruto walihangaika Sana kupora Kura za Odinga 2017. Raila Hata Kwa kina Ruto Uasin Gishu akatoka na 21%.
 
Hapa umetupa rada bro....siko side ya msee yoyote but ruto ziii
 
Wakenya Ni Wala rushwa maaharufu duniani wakiongozwa na kak yao Nigeria
 
Mudavadi huyu huyu aliyekimbiwa na uongozi mzima wa ANC? Hyu alizidiwa kura nyumbani kwake kabisa na Odinga. Ndio aje ashinde Urais wa nchi nzima?
Mudavadi ako na nguvu na support kubwa huko Western\Kingpin,na Raila ndio alikuwa akimhangaisha akimviruta opposition akimnyonya nguvu zake,akijaribu ku mnyanganya base yake ndio maana Mudavadi akamhepa!
Mudavadi sai anarudishia support base yake akiwa ndani ya Kenya Kwanza(Hustler Nation)
Muavadi akaambiwa na Ruto ajitahidi sana kwa kukuwa humble na mnyenyekevu,ili naye atazawadiwa na Hustler Nation akue the 6th!
Hivo ndivo Ruto alivofanya mpaka GEMA\Mount Kenyans wakampenda!
Na kweli huwa hawasau wakifanyiwa mazuri!!
 
Ruto the 5th!
Mudavadi the 6th!
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Last week nilikuwa mitaa ya Nairobi, wao wanasema Kenya ili uwe rais lazime upewe urais na sio kuchagulia.
1. Hivyo Raila ameshapewa na wanasema
anastahili sababu ni mvumilivu na hana visasi.

2. Ruto sio chaguo la matajiri wa Kenya kwasababu mali zao zitakuwa rehani.

--Ruto ni mtu wa visasi
--wanadai Ruto ni dikteta na jeuri

Sio mimi ni baadhi ya Wakenya
 
Mudavadi ako na nguvu na support kubwa huko Western\Kingpin,na Raila ndio alikuwa akimhangaisha akimviruta opposition akimnyonya nguvu zake,akijaribu ku mnyanganya base yake ndio maana Mudavadi akamhepa!
Mudavadi sai anarudishia support base yake akiwa ndani ya Kenya Kwanza(Hustler Nation)
Muavadi akaambiwa na Ruto ajitahidi sana kwa kukuwa humble na mnyenyekevu,ili naye atazawadiwa na Hustler Nation akue the 6th!
Hivo ndivo Ruto alivofanya mpaka GEMA\Mount Kenyans wakampenda!
Na kweli huwa hawasau wakifanyiwa mazuri!!
Acha utani? Mudavadi arudishe base? Which base wakati Dap-K imeshazoa majimbo yote huko!! Sio Trans Zoia sio Bungoma sio Kakamega,Vihiga, Wala Busia ambapo ANC itapata hata mbunge mmoja.

Kama aligombea Urais 2013 akapigwa na Odinga huko western ndio aje kupata kura sahvi ambapo hata sio Dp??

😂😂😂😂
 
Inakuwaje wanajamvi!

Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.

Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He is charismatic and intelligent. Lakini wivu, hila na fitna tu za waovu zitamzuia kuwa rais kama tu Fitna alizofanyiwa Rais wetu Lowasa.

Raila atakuwa Rais wa Kenya (5th president) baada ya uhuru kwa kubebwa tu kwenye uchaguzi. Atamchagua Martha Karua kuwa mgombea mwenza na hatimae Martha Karua atakuwa makamu wa Rais deputy president.

Huu ni utabiri wangu Martha Karua ndie Rais wa Kenya baada ya Raila. Raila hatamaliza muhula wake wa kwanza wa urais na Martha Karua kuwa Rais kwa mujibu wa katiba ya Kenya.View attachment 2194622
Martha Karua the 6th President of Kenya.

Cc zitto junior
Unaijua vizuri Kenya? Kwa ushirika alionao nao Raila atashinda karibia 60% ya kura, Ruto anahali ngumu ushawishi wake unategemea zaidi kura za mlima Kenya ambapo watagawana na Raila, kule Western, Nyanza Ukambani na Coast Raila atapata kura nyingi, Kenya wapiga kura wanawasilikiliza tribal leaders siyo kama TZ
 
Kwa picha hii Martha Karua anaenda kuwa Rais at some stage not very far. Kwa macho hayo she is devil to Raila. Let's wait
Picha ya zamani sana hiyo, hapo ilikuwa ni baada ya yale mazungumzo ambayo yalifanikisha serikali ya 'nusu mkate', mwaka wa 2008. Huwezi amini kwamba sasa hivi yupo pamoja na Raila kisiasa, chini ya muungano wa Azimio la Umoja. Martha Karua alikuwa ni mmoja kati ya watu watatu ambao walikuwa wamechaguliwa kuwakilisha mrengo wa Mwai Kibaki na chama cha PNU. Huku upande wa pili ukiwa na wengine watatu, akiwemo Dr. Ruto, ambao waliwakilisha mrengo wa Raila na chama cha ODM.

Kulikuwepo na mwanamke mmoja tu kwenye meza ya majadiliano, Martha Karua, aliwahemesha kweli kweli kina Ruto na wenzake. Ndio maana baada ya hapo wakaanza kumuita 'Iron Lady'. Martha Karua ni kati ya wanasiasa nchini Kenya, ambao wanajielewa sana. Hajahusishwa hata siku moja kwenye 'saga' au sakata yeyote ile ya kifisadi. Tena huwa anasimamia haki, bila kujali hasara ambazo misimamo yake huwa inamletea kisiasa. Kuna siku aliteuliwa kama waziri, ila akaikataa kabisa nafasi hiyo.
 
Picha ya zamani sana hiyo, hapo ilikuwa ni baada ya yale mazungumzo ambayo yalifanikisha serikali ya 'mkate nusu', mwaka wa 2008. Huwezi amini kwamba sasa hivi yupo pamoja na Raila kisiasa, chini ya muungano wa Azimio la Umoja. Martha Karua alikuwa ni mmoja kati ya watu watatu ambao walikuwa walichaguliwa kuwakilisha mrengo wa Mwai Kibaki na chama cha PNU. Huku upande wa pili ukiwa na wengine watatu, akiwemo Dr. Ruto, ambao waliwakilisha mrengo wa Raila na chama cha ODM.

Kulikuwepo na mwanamme mmoja tu kwenye meza ya majadiliano, Martha Karua, aliwahemesha kweli kweli kina Ruto na wenzake. Ndio maana baada ya hapo wakaanza kumuita 'Iron Lady'. Martha Karua ni kati ya wanasiasa nchini Kenya, ambao wanajielewa sana. Hajahusishwa hata siku moja kwenye 'saga' au sakata yeyote ile ya kifisadi. Tena huwa anasimamia haki, mbila kujali hasara ambazo misimamo yake huwa inamletea kisiasa. Kuna siku aliteuliwa kama waziri, ila akaikataa kabisa nafasi hiyo.
Hili jicho sio rafiki hata iweje it tells the inherent within Martha
 
Usimhukumu jombaa, hapo ilikuwa ni wakati wa maridhiano baada ya zile vurugu za uchaguzi mkuu wa 2007. Watu bado walikuwa na hasira nyingi sana, she is a great lady nonetheless. Nchi ya Kenya itafaidi sana iwapo atafanikiwa kuwa Naibu rais.
 
Acha utani? Mudavadi arudishe base? Which base wakati Dap-K imeshazoa majimbo yote huko!! Sio Trans Zoia sio Bungoma sio Kakamega,Vihiga, Wala Busia ambapo ANC itapata hata mbunge mmoja.

Kama aligombea Urais 2013 akapigwa na Odinga huko western ndio aje kupata kura sahvi ambapo hata sio Dp??

😂😂😂😂
wait Uchaguzi mwisho tutajua nani kasema kweli👌
 
Utabiri mzuri!! Lakini Ruto kushinda hawezi unless apate 100% ya kura za Wakikuyu.

Odinga ana kura za West, Nyanza, Ukambani, Mombasa, plus Nairobi Ina maana mpaka hapo ana 45% kabla hata kura hazijapigwa

2007, 2013 na 2017 zote alipata above 44% so tukienda kwa logic hiyo bila kura za Wakikuyu tena atakua na 45%.

This time kwa mara ya kwanza Odinga amepata support ya Wakikuyu kadhaa akiwemo Rais Kenyatta na magavana wa kutosha na ikiwemo Mount Kenya forum plus Deepstate iliyojaa Wakikuyu!!

Hivi kweli uhuru Kenyatta atashindwa kupata hata kura million 1 kati ya kura zaidi ya million 5 za Wakikuyu/Meru?? Akileta hiyo 10% pekee then Raila atapata 55% hivyo Ruto kutupwa nje ya ulingo.

So kwa hesabu hizi Ruto hata bila kura kuibwa hawezi mshinda Odinga ni mchanga sana kisiasa. Ni sawa na Kusema January amshinde Kikwete kwenye uchaguzi!!
You are really intelligent and you have made a clear and transparent analysis. Ushabiki walionao watu wengu Tanzania wanatazama idadi ya watu wanaoenda kwa mikutano ya Ruto lkn kwa ground hawajui siasa za Kenya. Kenya ukabila ndo kila kitu. kwahiyo kwa Ruto kushinda ni ngumu kwa hali ya ukabila iliyopo. Mwisho, serikali inamuunga mkono, na wote mnajua hata humu Tanzania hilo ndo huamua nani awe rais na siyo kura zenu mnazopiga mkipoteza muda kufoleni siku ya uchaguzi
 
Unajua siasa za Kenya ama unaota Ndoto za Kigoma. Kenya Raila ndio ako na national wide support. Ruto anaumaarufu Rift Valley na Central tu na anategemea siasa za Ukabila na kuhonga Wafuasi wake. Huku Raila ameshikilia Nairobi, Mombasa, Pwani, North Eastern, Ukambani, Nyanza, Western na South Rift. Wakenya wanataka Kiongozi anaunganisha wakenya Kwa Amani sio Watu wa Ukabila na Ufisadi. Leo tukisema Wakenya wachague Rais bila mambo ya Uporaji Kura Odinga atamshinda Ruto Asubuhi na Mapema. Uhuru na Ruto walihangaika Sana kupora Kura za Odinga 2017. Raila Hata Kwa kina Ruto Uasin Gishu akatoka na 21%.
Umesema sawa, Baba yuko strong sana na chaguzi ya 2017 alishinda kabisa basi tu waliamua kumnyima. Na kwa sasa ana support ya Uhuru, ni ngumu sana Ruto kushinda. Atakuwa kiongozi mzuri wa Upinzani. Ila naona kama atatawala muhula mmoja tu, na baada ya hapo itakuwa ngumu sana kwa kambi ya Uhuru kupata mgombea mwenye nguvu kama ya Raira kwaiyo usishangae Ruto kuwa rais 2027
 
Usimhukumu jombaa, hapo ilikuwa ni wakati wa maridhiano baada ya zile vurugu za uchaguzi mkuu wa 2007. Watu bado walikuwa na hasira nyingi sana, she is a great lady nonetheless. Nchi ya Kenya itafaidi sana iwapo atafanikiwa kuwa Naibu rais.
Hapana mpango wa Uhuru hata kama ni wa nia njema ila lipo jambo la ziada Mungu atupe uzima, if Martha succeeds to be a DP of Kenya its dangerous. How? She is inherent with Kikuyuism and the Kikuyu hegemonic syndrome. Wait to see how Raila has/shall be trapped
 
Back
Top Bottom