Kenya 2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

Kenya 2022 General Election
Demu anasura ngumu huyo khaaa
 
Okay, naona umeanza kuingiza hoja za kibaguzi. Ikifikia hapo mimi sipo.
 
pole sana mkuu iyo haitotokea katiba ya kenya sio kama ya tz uchaguzi itafanya ndani siku 60 kwa niaba ya katiba ya kenya.
 
Kenyatta for life...
Ila kenyata ni bonge la presidaa sana,na mchezo aliocheza ili aishi kwa amani bila kufatwafatwa na wapinzani usiku na mchana ,aka aply ile fomula ya if you can't beat them join them,akafanya hand shake,anamaliza kipindi chake akiwa na kakitambi.

Jamaa yetu magu ye alienda kinyume aka aply ile fomula ya if u can't beat them shoot them,ona sasa amekufa na akiwa na kesi ya kujibu.
 

Mi nishawashow wa Kei wasiskize Baba kumgei Karua u runng mate coz itahappen ya Malawi na Tz am telln you. I have warned them na kesho RAO ampatie tu Kalo
 
Mama iron lady kweli, alisimama kidete ,kuhakikisha Kibaki anachukua madaraka baada uchaguzi uliopelekea machafuko na watu kupoteza maisha Kenya. Hapa team 'tanga tanga' wajipange kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…