Utabiri mechi ya Horoya vs Raja marudiano

Utabiri mechi ya Horoya vs Raja marudiano

Kumbe kabla ya kukutana jana, wameshakutana mara nne na kila mmoja kashindia kwake mechi mbili mbili. Ila chochote kinaweza tokea, history hachezi mpira, ila kwa nidhamu walionesha Morocco wanaweza kuambulia chochote pengine. Jana nilitegemea 3+ kwa Raja
Jana Horoya walicheza vizuri sana,mwenyewe niitegemea 3+,wakichanga karata vizuri wanaweza kushinda kwao.
 
Back
Top Bottom