Acha kupiga ramli za kiboya wewe. Halafu ukitaka kuheshimika na wewe jiheshimuHabari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa
Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
16.4.2023 Yanga anapigwaHabari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa
Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
Unaleta mada kiudaku udaku tuu. Timu zitatoa sare hakuna sababu, Yanga na Simba watatolewa hakuna maelezo. Hivi hawa Walimu wenu wa siku hizi hawawafundishi kujenga hoja, lo hiki kizazi.Habari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa
Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
YANGA kutolewa robo fainali sawa, lakini YOUNG AFRICANS kutolewa robo fainali hilo ww sahau (rudia kuota ndoto yako)Habari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa
Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
Matumizi mabovu ya akili haya, Mpira ni kitu cha wazi kabisa wewe tayari umeshapiga ramli ππππYANGA kutolewa robo fainali sawa, lakini YOUNG AFRICANS kutolewa robo fainali hilo ww sahau (rudia kuota ndoto yako)
game ya Makolo vs Young Africans ni ngumu... tena ngumu mnoo haitabiriki hata kidogo hadi wakati huu, yaani matokeo hayaonekani kabisa
matumizi mabaya ya akili haya, yaani ushaanza kuwaza uwanga mapema yote hii, be positive π πMatumizi mabovu ya akili haya, Mpira ni kitu cha wazi kabisa wewe tayari umeshapiga ramli ππππ
Rivers kumfunga kwake au hata kupata sare ni ufanye kazi haswa. Lasivyo ni timu inayokuabisha, waba record nzuri sana kwaoYANGA kutolewa robo fainali sawa, lakini YOUNG AFRICANS kutolewa robo fainali hilo ww sahau (rudia kuota ndoto yako)
game ya Makolo vs Young Africans ni ngumu... tena ngumu mnoo haitabiriki hata kidogo hadi wakati huu, yaani matokeo hayaonekani kabisa
Umemaliza kila kitu.Simba anakufa kotekote.. Hakuna timu ya kufungwa na simba hapo.
Ova
Hivi Bado mpooSimba anakufa kotekote.. Hakuna timu ya kufungwa na simba hapo.
Ova
Tuanzie tulipoishiaa naona elimu ya nyota imekataaaRivers kumfunga kwake au hata kupata sare ni ufanye kazi haswa. Lasivyo ni timu inayokuabisha, waba record nzuri sana kwao
Una hali gani hapo ulipooo???Timu itakayotolewa inajulikana, Zuwena fc itakayofungwa pia tar 16