Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

Habari za jioni.

Utabiri wangu ndio huo.

Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare

Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.

Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa

Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
FRESHMAN utabiri wako ulienda kombo kufikia sasa
 
Back
Top Bottom