Utabiri mechi ya Vipers vs Simba

Utabiri mechi ya Vipers vs Simba

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Kwa kuangalia upande wa madhaifu ya timu zote mbili katika mizani, naona Vipers wakiwa na safu butu mno ya ushambuliaji. Wamecheza michezo zaidi ya mitano pasipo kupachika goli hata moja, hivyo sioni namna wanayoweza kupata point tatu leo dhidi ya Simba. Mechi itaisha kwa Simba kushinda ama sare.
 
Unaweza ukawa sahihi. Mimi ni Yanga ila huo ndio ukweli,mechi ya leo mikia wanaongoza hata bao moja. Point 3 paleeeee. Msha Jr afurahie
 
Ili uweke mizani sawa ujiulize pia katika michezo iyo mitano je! Simba Wana clean sheet ngapi? Utakua umeutendea mpira haki.
 
Wana clean sheet moja tu, lakini mechi ya leo Simba inashinda
 
Ili uweke mizani sawa ujiulize pia katika michezo iyo mitano je! Simba Wana clean sheet ngapi? Utakua umeutendea mpira haki.
Hiyo hapo mkuu. Nimekuambia watachomoka na kimoja cha bahati....! Eeeh isyoo....
 
Back
Top Bottom