UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

Acha kulisha watu matango poriii, Stend gani unayoizunguzia?
 
I saw this coming,

And kawe ,

And kigamboni.

Binafsi I will run for Arumeru Magharibi Mungu akijalia 2025.
 
Baraza la mawaziri vivuli ?
 
Mpaka amshinde mwamba Lema,lakini akishinda ataanzia waziri mdogo kwanza kama mwenzake Makonda atakaeteuliwa viti maalum.Kumbuka Magufuli ana mawaziri wa kutosha kutokea kabinet ya nyuma.Pia Waziri Mkuu Majaliwa hataki bypass.
uko sahihi kabsa mkuu
 

Bila kuiba kura CCM haiwezi kushinda Arusha. Arusha mjini ni mji wa wachagga pale ndiyo kila kitu!
 
Ubunge tayar ameshapata...pia hotuba ya Rais nadhani uliisikia pale Arusha.
 
Mkuu vipi nikupe bangi na wewe uvute
 
Poleni Sana na nchi yenu ya UTOPOLO
Vumbi litaongezeka na Vyuma vitakaza sio mchezo
 
Swali kubwa je Amepita kihalari?kama ndvo basi sawa. Lakn kama sivyo haina mana hata kama angepewa uVC..ni batili na batili ni haramu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ubunge tayar ameshapata...pia hotuba ya Rais nadhani uliisikia pale Arusha.

Unajua kusema hafai wala hapati nilimaanisha, ni sawa na useme hatutegemei mtu wa form four afaulu matokeo ya form 6 maana is logical, lakini akapewa aingie na marking scheme ya Mwalimu na afaulu, then itabidi tuache kujadili maani ni kituko! Umeelewa sasa!
 
Una maanisha form ni ukuu wa mkoa na form 6 ni ubunge??
Hakuna cha marking scheme wala nn Arusha watu wengi wa CCM wameenda kupiga kura..Mrisho alianza kujijenga mapema kutaka ubunge na ameupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…