mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Labda amteue kuwa mbunge. Kwa kupitishwa kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini Lema anapita saa 2 asubuhi! You can take this to the bank!Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.