Utabiri: Msanii Diamond Platnums na ubunge

Naapa,Mleta mada nenda mirembe !
Tangulia kabla hatujaja kukufunga kamba unyweshe methadol!
Mkeo atakuwa anachukuliwa kwakuwa jirani ali donate mchango wa harusi?

Mengi angekuwa raisi wa nchi kwakuwa ana donate huu mwaka wa 30 sasa?

Nikuletee pampas ubadili?

Kigoma ndio mkoa maskini kabisa kwa sasa ,Ukiyakuta majitu yatokayo huko ndo yanatitamba jijini,badala ya kuendeleza huko yanajishaua na Dar!

Angalia hotuba ja bajeti juzi na mikoa maskini kabisa,

1-Kigoma
2:-Bukoba
3:-Simiyu
4:-Geita
5-Mwanza

Hiyo mikoa wanaotoka huko wana hela lakini ulimbukeni wao hawajali nyumbani wanawekeza kwa wanawake wa Dar!

Shame to you all from those region kama hujawekeza kwenu!
 
71cc2fbb39890d8a605540a99361774d.jpg
 
Madawati yalikuwa sio yako katumwa tu sema kitu kingine
 
Alicho kisema mleta uzi ndo taswira ya wanaccm wengi nchi hii ebu angalia mbunge anayetoka jimbo fulani kule dodoma na mwingine yuko maeneo ya Tanga
 
Back
Top Bottom