Utabiri Mshindi Kombe la Dunia 2022 Qatar

Utabiri Mshindi Kombe la Dunia 2022 Qatar

ni sahihi kabisa au hupo karibu na ukweli.Argentina ni moja kati ya timu chache zinazopewa kipaumbele.
 
Habari,
Ikiwa ni dakika 1 kabla ya mechi kati ya Qatar na Ecuador kuanza natabiri Argentina kuchukua kombe mwaka huu, na wewe unatabiri timu gani kuchukua ubingwa?
Mshindi mwaka huu ni Ureno/Portugal haina ubishi.
 
Habari,
Ikiwa ni dakika 1 kabla ya mechi kati ya Qatar na Ecuador kuanza natabiri Argentina kuchukua kombe mwaka huu, na wewe unatabiri timu gani kuchukua ubingwa?
Argentina wameshachana mikeka ya watu tayari
 
Uzi wako wa utabiri bado unachanja mbuga kama ni mkeka bado uko actve
 
Back
Top Bottom