Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wakuu...nmelala mchana huu nimekurupuka Baada ya kuota ndoto hii ya kutisha japo ni nzuri Kwa maslahi ya football
Nmeota simba kafungwa 2_ 0 na Azam huku wafungaji wakiwa ni feitoto na silla......huku makolo wawili wakizimia uwanjani
Japo nahisi hii ndoto ni ya ukweli...kulingana na uchambuzi nilioufanya
NB: kwenye hii ndoto.....Simba wamepata penalty....ila wamekosa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app