Utabiri mzizima derby: Simba 0 _ 2 Azam

Utabiri mzizima derby: Simba 0 _ 2 Azam

ok!
Jiandaeni kucheza kimataifa na Esperance de tunis msipoteze muda oohh!
 
Wakuu...nmelala mchana huu nimekurupuka Baada ya kuota ndoto hii ya kutisha japo ni nzuri Kwa maslahi ya football

Nmeota simba kafungwa 2_ 0 na Azam huku wafungaji wakiwa ni feitoto na silla......huku makolo wawili wakizimia uwanjani

Japo nahisi hii ndoto ni ya ukweli...kulingana na uchambuzi nilioufanya

NB: kwenye hii ndoto.....Simba wamepata penalty....ila wamekosa View attachment 3247748

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Back
Top Bottom