Hapana mkuu.....Mimi nipo fit kabisaMara nyingi hizi ndoto huja pale ama hujala au umekula vyakula vigumu sana...
Tunaelewa.
Weka mixx basi si una uhakika?
Utamu kolea
vyovyote vile
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tuWakuu...nmelala mchana huu nimekurupuka Baada ya kuota ndoto hii ya kutisha japo ni nzuri Kwa maslahi ya football
Nmeota simba kafungwa 2_ 0 na Azam huku wafungaji wakiwa ni feitoto na silla......huku makolo wawili wakizimia uwanjani
Japo nahisi hii ndoto ni ya ukweli...kulingana na uchambuzi nilioufanya
NB: kwenye hii ndoto.....Simba wamepata penalty....ila wamekosa View attachment 3247748
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo unapoonesha huna akili
Hadi mtoto mdg anajua kua makolo ... penalty leaderHapo ndipo unapoonesha huna akili
Hadi mtoto mdg anajua kua makolo ... penalty leaderHapo ndipo unapoonesha huna akili
Subiri matokeo mzeeHakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Ww unasubiria nn????
Hakika chura atabak kuwa chura tuHadi mtoto mdg anajua kua makolo ... penalty leader
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Namba Gani pale🤣🤣🤣🤣🤣Hakika chura atabak kuwa chura tu