mwitamarwa
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 130
- 109
Walikwambia hapakuwa na sababu ya msingi? Walikwambia hawakuzungumza?
HeeeHuyo mc lazima atapoteza wateja. Hii ndio tabu ya watanzania kudakia bila kufikiria kazi zao pia.
Nisije kusikia popote mtu anamtaja kutaka kumpa kazi, lazima nitaizima pwaaaaaa.
Hata wewe utavuna ulichopanda.Huyu mdada ana matatizo, kuachana juzi tu hapa leo keshapata mwingine?
Inaonekana alikua nae kitambo!
Kibiblia amefanya kosa kubwa, na jambo lingine ni kwamba Mungu hashindwi, kama angesimama na Mungu nina hakika angeshinda ila kwa kuwa amechagua upande wa kushindwa matokeo yake ndio hayo.
Na huyo aliyefungisha hiyo ndoa nae anahesabika yu mwenye hatia pamoja nao wote waliomuunga mkono.
Kumbe alimpakazia au alimtengenezea Mbasha kesi ya ubakaji ili apate sababu ya kuondoka?
Mungu hadhihakiwi kwa kiasi hicho! Atavuna alichopanda.
wanafiki tu mkuu wanaomponda floraAcheni waoane bhana, mnajuaje ndani ya ndoa huyo Emmanuel alimfanyia kitu gani mbaya flora? Kwanza ndoa zenu huko majumbani kwenu ziko stable?, au mnajua kujaji ya wengine tu ili mtake kiki humu,???,
wanafiki sana wanaume wa tanzania wanaongoza kwa kunyanyasa wake zao kwenye ndoa .kwani flora ni mjinga aondoke?Unaacha kutabiri mambo yako unamtabiria mwenzio?Hicho ni kimbelembele...angalia maisha yako.Wewe sio Mungu