Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

Acheni waoane bhana, mnajuaje ndani ya ndoa huyo Emmanuel alimfanyia kitu gani mbaya flora? Kwanza ndoa zenu huko majumbani kwenu ziko stable?, au mnajua kujaji ya wengine tu ili mtake kiki humu,???,
 
Siri ya maiti ............!!! Olewa bibii,msihukumu mkaja mkahumiwa haya mambo si madogo!
 
Huyu jamaa kusekwa ana moyo aisee. Kelele zote zile na yeye anaenda kujivika bomu awe suicide bomber
 
Unaacha kutabiri mambo yako unamtabiria mwenzio?Hicho ni kimbelembele...angalia maisha yako.Wewe sio Mungu
 
Sasa ulitaka Flora aje atutangazie baba wa mtoto wake inatuhusu nini?Kwani ni mali ya uma?
 
Huyo mc lazima atapoteza wateja. Hii ndio tabu ya watanzania kudakia bila kufikiria kazi zao pia.

Nisije kusikia popote mtu anamtaja kutaka kumpa kazi, lazima nitaizima pwaaaaaa.
Heee
wewe ni mratibu wa ma'mc' wote Tanzania?
 
Huyu mdada ana matatizo, kuachana juzi tu hapa leo keshapata mwingine?

Inaonekana alikua nae kitambo!

Kibiblia amefanya kosa kubwa, na jambo lingine ni kwamba Mungu hashindwi, kama angesimama na Mungu nina hakika angeshinda ila kwa kuwa amechagua upande wa kushindwa matokeo yake ndio hayo.

Na huyo aliyefungisha hiyo ndoa nae anahesabika yu mwenye hatia pamoja nao wote waliomuunga mkono.

Kumbe alimpakazia au alimtengenezea Mbasha kesi ya ubakaji ili apate sababu ya kuondoka?

Mungu hadhihakiwi kwa kiasi hicho! Atavuna alichopanda.
Hata wewe utavuna ulichopanda.
Mleta mada anajua undani wa kesi kuliko wenye kesi?
 
Sina comments ila najiuliza tu,hivi yule Yesu aliyekuwa akimuimba kwa kusema vumilia utayashinda hakumshindia katika majaribu yake ya ndoa?
 
Acheni waoane bhana, mnajuaje ndani ya ndoa huyo Emmanuel alimfanyia kitu gani mbaya flora? Kwanza ndoa zenu huko majumbani kwenu ziko stable?, au mnajua kujaji ya wengine tu ili mtake kiki humu,???,
wanafiki tu mkuu wanaomponda flora
 
Unaacha kutabiri mambo yako unamtabiria mwenzio?Hicho ni kimbelembele...angalia maisha yako.Wewe sio Mungu
wanafiki sana wanaume wa tanzania wanaongoza kwa kunyanyasa wake zao kwenye ndoa .kwani flora ni mjinga aondoke?
 
hongera sana flora umeonesha njia kwa wanawake wengi wanaonyanyasika kwenye ndoa kwamba kuna maisha hata ukiachika wanaume wapo wengi .hongera sana
 
Huyu demu anajua sana kucheza na akili za wanaume.
Huyu kijana anayeoa sasa, yaweza kuwa ni "mario".
Haiwezekani kijana mdogo namna hiyo, ukajiingiza kichwakichwa kwa jimama tapeli la mapenzi.
Mwanamke katoka kwa mume bila sababu za msingi na vyombo vya habari viliripoti sana kadhia hiyo, hakuna asiyejua.
Bado tu jamaa anaingia mazima! Hana ndugu washauri wa busara?
Nadhani ana lengo kichwani mwake la kwenda kulelewa na si kwa ajili ya kutengeneza "future" .
 
Unaacha kutabiri mambo yako unamtabiria mwenzio?Hicho ni kimbelembele...angalia maisha yako.Wewe sio Mungu
Ulitaka nitabiri lini utapoteza malinda wakati ushapoteza..kaa kimya
 
wanafiki tu mkuu wanaomponda flora
Of course lazima kuwe na pande mbili za kimtazamo kwenye ajenda au suala moja..hata sisi tunawaona mafala tu wanaoshabikia huu upuuzi wa huyu anayejiita mwimbaji wa injili
 
hongera sana flora umeonesha njia kwa wanawake wengi wanaonyanyasika kwenye ndoa kwamba kuna maisha hata ukiachika wanaume wapo wengi .hongera sana
Point of correction: Kajiachisha na sio kuachwa (ninaushaidi ukitaka)
 
Hivi kwanini mnadhani ni sahihi mtu kuishi na mtu asiyempenda.
Je, mtu hapaswi kuwa na mwenye mapenzi naye...!?
 
Back
Top Bottom