Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Aisee watu mnafurahusha sana humu.
 
MAJORITY YA WALOKOLE NCHI NZIMA WALIKUA WANAMPENDA SANA FLORA AKIWA NA IMMA..BUT BAADA YA KUGUNDUA KAMSINGIZIA MME WAKE NA MENGINE YOTE HADI KUACHANA HAWAKUMPENDA TENAAA...YANI SASA HV NI KAMA HAWAMJUI MASKINI WEEE...
HALAFU KILE KIPINDI CHA KESI YA KUSINGIZIWA KUBAKA NA TALAKA EMMA ALIKONDA..MINDEVU KIBAO..ANAIMBA ANALAZIMISHA UCHANGAMFU.
 
maamuzi binafsi watu mnayatolea povu,hivi mnayajua mapenzi nyinyi?
 
Icho kitoto kimeoa kimeolewa? Uyo flora kakomaa balaa usicheze na nguvu ya pesa
 
huyu jamaa anaonekana mshamba shamba sijui alimpata vipi Flora? yaani Flora anakazi ya ziada kumdhibiti huyo dogo maana kwa kuangalia uso tu ... he is a lier atatafuta demu na mbaya zaidi they are on their own hana kanisa la kumpeleka kusuluhishwa... we better wait...

Mbasha atulie tu hii movie haina muda mrefu
 
Huyo mc lazima atapoteza wateja. Hii ndio tabu ya watanzania kudakia bila kufikiria kazi zao pia.

Nisije kusikia popote mtu anamtaja kutaka kumpa kazi, lazima nitaizima pwaaaaaa.
DAB hajambo?
 
Tusimuhukumu Flora peke yake kwani yaliyokuwemo kati yake na mumewe wa kwanza ni wao tu ndio wanaoujua ukweli. Wengine tunashabikia tu.
 
Kumekuwa na maneno mengi leo kuanzia kwenye vijiwe vya kahawa mpaka mitandaoni kumhusu mwanamziki aliyejulikana kama Flora Mbasha awali (madame Flora sasa) kuhusu uamuzi wake wa kufunga ndoa kwa Mara ya pili..
Haya ni machache yanayoashilia huenda ndoa hyo inaombewa mabaya na waliowengi..

1. Huyu ni mtumishi wa Mungu (kupitia uimbaji)
2. Mlokole kwenye ndoa ya pili
3. Alimpakazia mbasha kesi kubwa kwa maoni ya watu Mungu alimshindia (kesi ya kubaka)
4. Pamoja na hayo bado mmewe alibaki kumpenda daima na alikuwa radhi warudiane ila mtumishi huyu hakuwa tayari kusamehe (Biblia inasemaje hapa..)
5. Huyu mtoto wa pili hajulikani hasa ni wa Mbasha, huyu wa sasa au ni mwingine..hii sio dalili njema kabisa
6. Pamoja na Mbasha kutoa taraka inaonyesha yeye nafsini bado yuko na Frola (ukitamka Frola mbele yake ukamwangalia usoni you notice all what iam saying..)
7. Sina uhakika narudia sina uhakika kama huyu mmewe wa sasa alipata baraka zote za wazazi upande wake kumuoa huyu binti sijui mmama au mbibi (I don't know)
8. Siku zote watu wengi wakikuwazia mabaya lazima yatakutokea japo sio lazima
Mcpilipili kaweka picha hii na kuwaambia watu wavote lakini ukisoma comment mpaka sisi ambao tumeshapeleka revenue TBL unapata mshituko...
Kwanza ndo mechi inaanza muda utasema..
NB: SIMWOMBEI MTU MABAYA MSINIHULUMU
View attachment 502816View attachment 502817

B yuko vizur akinioa mim ila A anamfaa frola
 
Hivi kwanini mnadhani ni sahihi mtu kuishi na mtu asiyempenda.
Je, mtu hapaswi kuwa na mwenye mapenzi naye...!?
na kama hampendi kwa nn alikubali waoane?? na alikiri kabisa yuko tayari kusihi kwa raha na taabu?
 
Kwa kweli tupieni pic za harusi tujimwae hongera madame florah wakuacheeeee
 
kazi aliyofanya flora haikuwa kazi ndogo katika ulimwengu wa roho! alitakiwa kuhudumiwa mara kwa mara vinginevyo ndo hivyo vita inaibuka na asipoangalia inaweza kuwa mwisho wake katika injili kwa kuwa hakuna ndoa zaidi ya moja za kikristo zikaishi salama
 
Kumekuwa na maneno mengi leo kuanzia kwenye vijiwe vya kahawa mpaka mitandaoni kumhusu mwanamziki aliyejulikana kama Flora Mbasha awali (madame Flora sasa) kuhusu uamuzi wake wa kufunga ndoa kwa Mara ya pili..
Haya ni machache yanayoashilia huenda ndoa hyo inaombewa mabaya na waliowengi..

1. Huyu ni mtumishi wa Mungu (kupitia uimbaji)
2. Mlokole kwenye ndoa ya pili
3. Alimpakazia mbasha kesi kubwa kwa maoni ya watu Mungu alimshindia (kesi ya kubaka)
4. Pamoja na hayo bado mmewe alibaki kumpenda daima na alikuwa radhi warudiane ila mtumishi huyu hakuwa tayari kusamehe (Biblia inasemaje hapa..)
5. Huyu mtoto wa pili hajulikani hasa ni wa Mbasha, huyu wa sasa au ni mwingine..hii sio dalili njema kabisa
6. Pamoja na Mbasha kutoa taraka inaonyesha yeye nafsini bado yuko na Frola (ukitamka Frola mbele yake ukamwangalia usoni you notice all what iam saying..)
7. Sina uhakika narudia sina uhakika kama huyu mmewe wa sasa alipata baraka zote za wazazi upande wake kumuoa huyu binti sijui mmama au mbibi (I don't know)
8. Siku zote watu wengi wakikuwazia mabaya lazima yatakutokea japo sio lazima
Mcpilipili kaweka picha hii na kuwaambia watu wavote lakini ukisoma comment mpaka sisi ambao tumeshapeleka revenue TBL unapata mshituko...
Kwanza ndo mechi inaanza muda utasema..
NB: SIMWOMBEI MTU MABAYA MSINIHULUMU
View attachment 502816View attachment 502817
tmp-cam-940657678.jpg
 
Huyo kwa wasomaji wa bible, kitabu cha warumi 7:2-3 jibu lipo hapo
 
Hiko kitabu (Bible) unachokitumia kama reference yako ya kuhukumu kimekukataza usihukumu.

Kwa namna ulivyoji-Contradict kwenye hili povu lako, ina maana huna unalolijua.
Hivi kwanini kusema ukweli watu mnaita kuhukumu!?
 
Kilichomtoa kwa mbasha anakijua flora mwenyewe.tumuache
 
Back
Top Bottom