Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Hahahahaaaa

Mbaazi ikikosa maua husingizia jua.
 
Unamsujudia Guardiola unadhani ni malaika yule, soma mitandao ya nje uone anavyochanganya mambo kwenye game muhimu, toka akiwa na Bayern alipigwa 4 na R. Madrid Allianz Arena kwa ujuaji wake mwishowe akaja kukiri alikosea formation, na jana karudia ujinga ule ule.

Wanamuita tinkerman!!
 
Kwa ile City mbovu namna ile ya jana mlitakiwa kushinda atleast 3-0, sio 1-0, nahisi mpira wako utakuwa umeujulia kwenye TV sebuleni.
 
Chelsea watoto wadogo sana hao, watapasuliwa vibaya.
Mkimaliza maneno yote midomoni ndio City wataianza kazi yao tar 29.
Tarehe 29 ndio kitapangwa kikosi kitakachowafanya mjione mlivyo watoto wadogo, wazungu wanakwambia "save the best for last"
Hiyo siku muwepo hapa msijesema simu zenu zilizima chaji.

Nimewaficha Neymar na Mbappe, nimempoteza Haaland; Chelsea ya Werner ni sawa na kunywa uji wa mgonjwa.
Hivi chelsea ina wachezaji gani wa kutisha ,wataje basi ??..

Haina wachezaji wabunifu wanaowezakuamua matokeo ,hao wanacheza kwa morali tu ,..

Sasa watakachokutana nacho final ,mtajuta kuingia uwanjani ..
Umenitajia majina ya wazee tupu hapo, kama ni Man City hata tusingejisifu kuwafunga tungenyamaza kimya, ila nyie watoto bana...
Timu inafungwa na Arsenal halafu inawataka Man City, kweli hamkijui mnachokiomba.
Yes, hakuwa serious, game ya final UCL ameenda na kikosi cha majaribio.
"A winning side never change" Guardiola kavunja hiyo sheria ndio maana yamemkuta, he simply created a seed of his own destruction.
Game ya fainali anapanga kikosi cha majaribio, hakuna anaejua mpira atamuelewa.
Kwa ile City mbovu namna ile ya jana mlitakiwa kushinda atleast 3-0, sio 1-0, nahisi mpira wako utakuwa umeujulia kwenye TV sebuleni.
Huwezi cheza game ya CL final bila holding midfilders, kila anaejua mpira anamshangaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa Kashasha. Naona unazidi kuhamisha magoli tu.

Punguza mihemuko utakufa kabla ya wakati. Yaani kama unabet, sipati picha mhindi anavyokugaragaza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unasema game itaisha first half hukujua kama huyo Guardiola unayejua historia yake ndiye unayemtegemea aifanye hiyo shughuli?

Wakati unasifia rotation ya kikosi sijui na nini, ulisahau unayemsifia hapo ni huyohuyo Pep?

Wewe tukupe Taifa Stars, naamini tutachukua World Cup.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…