Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.

Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka, kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa.

- Atakutwa amekufa ofisini,
-Atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
  • Atapigwa risasi, mma
  • Atapinduliwa na kukimbia nchi,
  • Atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu, ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi", maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule, siku yoyoye na kwa namna yoyote, maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west, inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe, hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi, kama kumwekea sumu,kumpiga risasi, kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga. Ni njia za kukata tamaa.

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi, lkin hapo wameshindwa na hawataweza.

Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais, lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.

Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam? Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.

Nakumbuka, hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli, kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua, wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashar Al Assad?

Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?

Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Putin.
 
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi,Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18.Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.

Warusi wamemchoka,
Kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa,
- atakutwa amekufa ofisini,
-atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
- atapigwa risasi,
Ama
- atapinduliwa na kukimbia nchi,
-atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu,ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi",
Maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule,siku yoyoye na kwa namna yoyote,maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west,inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe,hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi,kama kumwekea sumu,kumpiga risasi,kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga.
Ni njia za kukata tamaa,

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi,lkin hapo wameshindwa na hawataweza.
Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais,lkn sio kwa mwamba Putin.

Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi. Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam?
Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.

Nakumbuka,hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli,kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama Well said.
 
Matatizo yaliyopo ulaya kwa sasa hayajaletwa na Putin. Yameletwa na viongozi wa nchi zao wenyewe. Kwa kuiwekea urusi vikwazo ambavyo badala ya kuleta shida na tabu kwa warusi imeleta mtikisiko huko ulaya. Haswa wale EU.
Waondoe vikwazo walivyomwekea Putin na serekali yake. Waache kuipa Ukraine silaha uone kama wataendelea kupata tabu.
Hakuna mbwa hata m1 wa magharibi anaweza kumuua Rais Putin. Putin ataendelea kuwanyoosha mpaka kieleweke.

Kwa sasa putin aendelee kukanyagia hapohapo mpaka EU itakapo sambaratika. ***** zao
 
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi,Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18.Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.
Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka,
Kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa,
- atakutwa amekufa ofisini,
-atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
- atapigwa risasi,
Ama
- atapinduliwa na kukimbia nchi,
-atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu,ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi",
Maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule,siku yoyoye na kwa namna yoyote,maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west,inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe,hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi,kama kumwekea sumu,kumpiga risasi,kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga.
Ni njia za kukata tamaa,

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi,lkin hapo wameshindwa na hawataweza.
Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais,lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein,Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.
Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam?
Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU,

Nakumbuka,hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo,njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli,kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua,wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashir Al Assad?
Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?

Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Puti

Na wewe tukutabirie utakufa lini? Mwanaume mzima kimbelembele vitu visivyokuhusu utapewa dera!
 
Bora wanayopitia hao wamagharibi, kulko haya tunayopitia Afrika sabbu ya ushenzi wa hao wamagharibi unaowatetea.

Urusi sio libya wala sudan udhanie kwmba rais wao anaweza kuzinguliwa kijinga hivyo.

Alafu mujuwe kuwa kufa kwa putin sio suluhisho la matatizo maana hata akifa huenda akarithi uongoz rais jeuri zaid ya huyu, kumbuka kuwa hizo nchi za wenzetu haziendeshwi kienyeji kama huku, kule kuna mifumo ya uongoz ilishaandaliwa ambapo kiongoz mpya aingiapo huongoza kwa kutimiza agenda zenye maslahi ya nchi, ambazo zilishatungwa kitambo.

Putin hafi leo wala kesho huenda mkafa ninyi mnaomuombea hayo.

Dunia lazima iwe kwenye balance ili kupunguza maonevu, hao wamagharibi chini ya USA ndio wameiharibu dunia kwa ukoloni wao na mifumo yao ya kinyonyaji, na kama hauna akili huwez kuelewa, maana hata Media zote kubwa ni zao na zinatumika kupika propaganda za kuwasafisha wamagharibi na kuwafichia maushetan wayatendayo dunian.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kugazibika na haya ayafanyayo putin..mwisho wa putini ndio mwisho wa hayo mataifa yenu mnayoita tajiri lkn yanatandikwa kiuchumi na nchi mnayodanganyana kuwa haina ushawishi dunian wala haina utajiri.
 
Putin akifa Dunia itajuta.

Maana hapo anaweza kupewa urais Medved, Ramzan wa Chechnya au Harmageddon anayeteketeza migambo wa Ukraine.

Hapo US na wadau wake wataandamana Putin afufuke.
Maana Kuna watu hatari Zaidi ya Putin wako reserve
 
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.

Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka, kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa.

- Atakutwa amekufa ofisini,
-Atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
  • Atapigwa risasi, mma
  • Atapinduliwa na kukimbia nchi,
  • Atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu, ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi", maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule, siku yoyoye na kwa namna yoyote, maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west, inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe, hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi, kama kumwekea sumu,kumpiga risasi, kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga. Ni njia za kukata tamaa.

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi, lkin hapo wameshindwa na hawataweza.

Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais, lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.

Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam? Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.

Nakumbuka, hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli, kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua, wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashar Al Assad?

Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?

Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Putin.
Acha Ramli,tena yaweza kuwa chonganishi 😂
 
Labda aanze babu Biden kudead
a.k.a beberu mkuu
Kufa atakufa... Ila si kwasababu ya vita vya Ukraine...
Atakufa baadae sana baada ya kuichukua Ukraine... Na pia jaribio lolote la kumuua Putin kwasasa basi litaleta vita kubwa sana ya Ulaya...
Rejea kulipuliwa kwa daraja lake
Hawamjui Mwamba,ndio aamue kuvurumisha vitu vya Nuke kwa style ya ile wiki ya maangamizi ya kyvi ndio akili za mabeberu zitawarejea🏃🏃
 
Nato west walizoea kuwaua Marais waliowachukia kama Sadam Husein,Slobodan Milosevic na Muamar Gadafi.hawa waliwatoa kijeshi na baadae kupelekea vifo vyao.
Nadhani ni matamanio makubwa hata Putin atolewe kijeshi,lakini kwa Putin kumtoa kijeshi ni kujitoa mhanga.
"Njia pekee waliyobakiwa nayo ni kumuombea afe".
Na ndio utaona pro west wengi wanamuwazia kuwa,haupiti mwezi,wiki,au siku kadhaa Putin atakufa.
 
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.

Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka, kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa.

- Atakutwa amekufa ofisini,
-Atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
  • Atapigwa risasi, mma
  • Atapinduliwa na kukimbia nchi,
  • Atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu, ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi", maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule, siku yoyoye na kwa namna yoyote, maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west, inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe, hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi, kama kumwekea sumu,kumpiga risasi, kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga. Ni njia za kukata tamaa.

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi, lkin hapo wameshindwa na hawataweza.

Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais, lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.

Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam? Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.

Nakumbuka, hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli, kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua, wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashar Al Assad?

Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?

Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Putin.
Mbona umechukua utabiri wa Marehemu Kim Clement?
 
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hii ni vita kati ya wanaounga mkono ushoga na wale wanaoupinga.. Kwa hiyo hata hawa wanaojipambanuaa hapa kuwa Putin atakufa ni wale wanaounga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja.
 
Back
Top Bottom