Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

Hii ni vita kati ya wanaounga mkono ushoga na wale wanaoupinga.. Kwa hiyo hata hawa wanaojipambanuaa hapa kuwa Putin atakufa ni wale wanaounga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja.
Hivi East Africa kuna mashoga kweli ??
 
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.

Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.

Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.

Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka, kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa.

- Atakutwa amekufa ofisini,
-Atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
  • Atapigwa risasi, mma
  • Atapinduliwa na kukimbia nchi,
  • Atashitakiwa the Hague."

Kwa kifupi haya maneno sio yangu, ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..

Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.

Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi", maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule, siku yoyoye na kwa namna yoyote, maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.

Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"

Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west, inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe, hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi, kama kumwekea sumu,kumpiga risasi, kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.

Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga. Ni njia za kukata tamaa.

Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi, lkin hapo wameshindwa na hawataweza.

Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais, lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.

Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam? Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.

Nakumbuka, hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.

Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli, kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua, wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashar Al Assad?

Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?

Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Putin.
Alisikika mkaazi mmoja wa Mwananyamala Kidile akiongea ushuzi
 
Duuh
 
wametuma Meseji ngumu kwa Putin na washirika wake
Thread starterTumainiEl Start dateMay 19, 2024 Tagsdunia majasusi ngumu putin wake washirika

TumainiEl
JF-Expert Member
May 19, 2024
Add bookmark
#1
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.

Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi wakile kimetokea.
Wengi hawajuwi kile kiponyuma ya hili tukio ila Kuna vitu vya muhimu vimepotea kuliko maisha.

Uwenda sasa siri zote za Iran na marafiki zake zimetiwa kiganjani mwa wanaume na wababe wadunia na uwenda vita ya mashariki ya kati itasimama pia Ukraine vita Mrusi anarudisha majeshi nyuma.

Rais anatembea na Ofisi nahiyo Ofisi ndio macho ya majasusi yapo ukipoteza beg la Rais umepoteza Siri za Taifa kwa sasa Ninapo andika Siri za Irani zimesha patikana yaani watatekenywa mpaka walegee yaani Siri zote mikononi mwa wanaume wasio julika Iran hawatolia kumpoteza Rais watalia kutopatikana kwa begi muhimu lenye taarifa za Siri za Taifa lao.
Uwenda wakakuta manyoya au uwenda maiti zisionekane milele tetesi jamani msinibane ngede.
Mzee wakukamata majasusi nakuwatoa macho anatetema maana hata vikosi hatari vya majasusi wa Urusi hawatoambulia manyoya nibalaa juu ya balaa Putin na washirika zake hawaamini mpaka sasa kile kimetokea na uwenda kama nilivyokwisha Tabiri vita itasimama ghafla. Nakama haisimami wababe wakivita watazima Engine nyingine this time China watajifukia keep cool and keep 🤐🤐🤐🤐

Wazee wakidoni wanataka jamaa aende kwenye ........ Wamalize kazi nyumbani.

Ilihawajamaa kuwa nimiamba helicopter tatu moja imeangushwa na ndio ya Rais. Mtu ambaye inasadikika ndio was next Ayatollah
Hatujuwi Nia yao ni nn ila Mungu ndie anajuwa.
 
Back
Top Bottom