Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hivi East Africa kuna mashoga kweli ??Hii ni vita kati ya wanaounga mkono ushoga na wale wanaoupinga.. Kwa hiyo hata hawa wanaojipambanuaa hapa kuwa Putin atakufa ni wale wanaounga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja.
Alisikika mkaazi mmoja wa Mwananyamala Kidile akiongea ushuzi"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.
Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.
Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.
Kwa mateso haya Kuna watu wanamfanyia kazi usiku na mchana,
Warusi wamemchoka, kwa mateso haya wanayopitia ni lazima putin atakufa.
- Atakutwa amekufa ofisini,
-Atakutwa amekufa kwenye bwawa la kuogelea,
- Atapigwa risasi, mma
- Atapinduliwa na kukimbia nchi,
- Atashitakiwa the Hague."
Kwa kifupi haya maneno sio yangu, ni maneno ya watabiri mbalimbali hapa duniani na zaidi humu jamii Forums..
Mimi Lee Van Cliff napingana kabisa na utabiri wao.
Kwanza kabisa watabiri Hawa wangetupa siku na tarehe ambayo Putin atakufa "rasmi", maana kifo kipo kwa mtu yoyote yule, siku yoyoye na kwa namna yoyote, maana asije akafa kifo Cha kawaida, wakatuambia kazi imekamilika.
Tutatofautishaje kifo Cha kawaida na kifo Cha "kuondolewa?"
Hata hivyo kwa tabiri hizi jinsi zilivyo nyingi,na ninaamini huenda ndio tabiri za watu wengi hata huko west, inaonesha wazi kua west na NATO kwa udhamini wa kaka Yao USA ni wasi kuwa wanamwogopa Putin/Urusi kijeshi,na njia ya kijeshi kumshinda wameshindwa, na hawawezi kamwe, hivyo njia pekee kwao kumshinda Putin ni kumuua kwa njia za ama kigaidi ama Kijasusi, kama kumwekea sumu,kumpiga risasi, kumtegea bomu ama vurugu za maandamano ama mapinduzi.
Kwangu Mimi hizi ni njia dhaifu sana na za kuioga. Ni njia za kukata tamaa.
Njia pekee kwa nchi za Magharibi ni kumtoa Putin kijeshi, lkin hapo wameshindwa na hawataweza.
Waliweza kuwatoa kijeshi baadhi ya Marais, lkn sio kwa mwamba Putin.
Waliweza kumtoa Sadam Husein, Slobodan Milosevic na Muamar Ghadafi.
Sasa wanashindwa Nini kumtoa Putin kijeshi kama walivyofanya kwa akina Sadam? Maana kutegemea kumwekea mtu sumu ni sawa na uchawi TU.
Nakumbuka, hata wachawi wa Ukraine walijaribu kumroga Putin lkn Hadi Leo yupo.
Hata hivyo, njia za kijeshi kumtoa Putiin ni za muujiza kwa kweli, kwani kama wao kweli Wana ubavu wa kuwatoa Marais madarakani kwa kuwaua ama kuwapindua, wameshindwa Nini kuwatoa Nikolas Maduro na Bashar Al Assad?
Kama wameshindwa kuwaua Hawa wataweza kweli kumuua Rais mwenye Ulinzi na Jeshi Kali kama mwamba Putin?
Watabiri tunaomba siku na tarehe atakayokufa Putin.
Ninachojua hakuna na kama watakuwepo basi itakuwa ni kwa siri sana.Hivi East Africa kuna mashoga kweli ??
Duuh"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.

wametuma Meseji ngumu kwa Putin na washirika wake"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.