Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae jambo hilo lifanyiwe kazi na kisha zianze sauti za kusifu na kupongeza pale kijana atapoachiwa huru.
Kampeni za kuelekea 2025 ziko kila mahali na kwa kila namna kuanzia mabongo barabarani na karibu kila mahala na katika kila oppurtunity inayopatikana.
Predicting how some of our politicians are going to react or behave under certain circumstances or situations, has never been difficult and will never be so.
Time will tell.
NB:Kwakeli tumakiri anajitahidi sana katika kuonyesha ubinadamu/utu tofauti na mtangulizi wake, ila asisahau msemo huu: "too much of everything is harmful", hivyo awe makini ingawa tunapenda aendele na moyo huo.