Salim Kikeke akipewa hiyo nafasi nchi itaingia kwenye conflicts kama siyo ya kikatiba na kisheria basi ni ya kidiplomasia
Siyo raia wa Tanzania , that was great mistake wabadiaspora inayotuponza. Angekuwa raia wa Tanzania mambo yangekuwa njululuuu
Kumiliki kwake hati ya kusafiria ya Uingereza kuna mweka kwenye mashaka ya kuutumia hi kwa sababu siku serikali ikimkataa au akabainika kwa kujua au kutokujua amedukuliwa na nchi ambayo yeye ni raia Tanzania itashindwa kumkamata kwa sababu nchi yake itasimama kumtetea.
Juzi kuna kisa kimetokea airport ambapo raiwa wa Uingereza Mdogo wetu Mlowe alizuiliwa kuingia Tanzania. Diaspora tukabwabwaja kumbe mamlaka zinamjua na kwa sasa wamemtema
Tunapoamua masuala nyeti kama uteuzi lazima vetting iwe kali sana. Isitoshe Taifa lina watu milioni sitini hakuna namna tutakosa wakumteua