Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,415
Reaction score
3,213
Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
 
Kwa kazi hii inabidi uhamie mitaa ya Magomeni
 
Lolote laweza kutokea.. Maombi na sala huepesha haya mambo
 
Amka wewe
Utajikojolea…
 
Yaani uchawi mpirani hamjamaliza mnafanya mpaka kwenye maisha ya watu. acha hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…