Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Nasikia anapumilia mashineNahisi ni Museven
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia anapumilia mashineNahisi ni Museven
U iko wapi hapo?Nahisi ni Museven
Nili screenshot kabisa tangu mwaka jana kama sio juzi, nmeichek niiweke hapa sijaipata. Ila ni kweli hata mm nilishaona hyo koment tena ni ya kitambo waybackNi mwanachama gani vile alisema ifikapo 2022 tutakuwa na Rais mwanamke?
Alitabiri ndege kuanguka mengine ni utabiri unaweza kutokea au isitokeeMkuu yametokea...japo si kwa kiwango ulichotabiri
Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
SawaHakuna kitu kama hicho
Kuna ajali? Mbona umefukua uzi? Wengine JF ndio the only place to get some serious news 😁Sawa
Hamna ajali Sema tu nimekumbuka kifo cha rafiki yangu kwenye hii ajaliKuna ajali? Mbona umefukua uzi? Wengine JF ndio the only place to get some serious news 😁
nguserohNili screenshot kabisa tangu mwaka jana kama sio juzi, nmeichek niiweke hapa sijaipata. Ila ni kweli hata mm nilishaona hyo koment tena ni ya kitambo wayback