Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Issue ya utabiri ya huyu maharage ya ukweni ni sahihi, hii hatupingi. Lakini ajali yenyewe nahisi ilipangwa kutokea under Freemason Decision, na ikapangwa aandaliwe kijana mmoja kwa ajili ya kula shavu hili. Huenda Majariwa alijiunga na chama la wana wakamwambia atapata pesa kupitia ajali hiyoHaiwezi kua planned scene..
Hasa hasa kwa nchi yetu.. hayo ni maono..
Embu fikiria, tz tunaeza panga kuangusha ndege tena tupange ikatike katikati [emoji3][emoji3].. hatujawai kua serious ivo.
Kuna watu hua wanaota na matukio yanatokea (maono), wengine hua hawasemi tu.