[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thread kama hizi ndo znasababisha nipigwe ban mara kwa mara! Ngoja nikae kimya tu.
Umeamka tu ukaandika, ukapost, ukalala.Kwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347
Simba ni ushindi tuLeta utabir wako
PoaaaahVp student
TanzaniaKwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347
Hamtaki tuseme ukweli...Yaan utopolo bhana, badala uwe buzzy na team yako kuifanya pre analysis dhidi ya GGM kombe la FA, wee kutwa kuwashwa na chama kubwa linalowakilisha Taifa. Lol
Maumivu yakiwazidi muwahi Mlonganzira, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]