Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuotaKwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa