Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

Utabiri: Simba anapigwa 5 _0 na Orlando pirates

Mimi nawatahadharisha CAF ambao wataleta hizi mashine za VAR, ikiwezekana wawalete na walinzi special kwa ajili ya ulinzi wa VAR maana hakuna Timu Ina mashabiki wezi, waporaji, wang'oa viti kama Makolo.. Naamini CAF wasipokuwa makini hizi mashine za VAR zote zitaibwa na Mashabiki wa Simba, coz hii match wanaenda kupoteza kwa mabao mengi sana maana Yale magoli Yao ya Offside hayatokuwepo tena dadeq.
Ushahidi adhim kabisa upo na tumeona hata kwenye match zao za makundi kule Morocco, Sijui huko Instan bull Kuna vifaa vingi vilipotea ndani ya uwanja na ni dhahiri kuwa wachezaji wa Kolo FC waliiba. Tahadhari ni muhimu isije ikatokea kama ya kule Nigeria Kikosi cha Simba, benchi lao la ufundi na Mashabiki wote ni wezi sana[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu yakizidi kamuone prof Janabi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata kule nawa support tyuuu, hata sihusiki na kada ile mie.
Na pia bado muda wangu wa kupambana na ajira.
Unajua me nilikuwa nadhani utakuwa na umri mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom