Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe,,tehe,, haaa''haya bwana.Tunasubiri waongezeke....baada ya kuwafunga simba
Ukweli upi hapo? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hamtaki tuseme ukweli...
Hilo ni siri ya ARIS.GPA ya ngap up to now
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi ya marudiano na Somalia lini?
Nipo hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawatahadharisha CAF ambao wataleta hizi mashine za VAR, ikiwezekana wawalete na walinzi special kwa ajili ya ulinzi wa VAR maana hakuna Timu Ina mashabiki wezi, waporaji, wang'oa viti kama Makolo.. Naamini CAF wasipokuwa makini hizi mashine za VAR zote zitaibwa na Mashabiki wa Simba, coz hii match wanaenda kupoteza kwa mabao mengi sana maana Yale magoli Yao ya Offside hayatokuwepo tena dadeq.
Ushahidi adhim kabisa upo na tumeona hata kwenye match zao za makundi kule Morocco, Sijui huko Instan bull Kuna vifaa vingi vilipotea ndani ya uwanja na ni dhahiri kuwa wachezaji wa Kolo FC waliiba. Tahadhari ni muhimu isije ikatokea kama ya kule Nigeria Kikosi cha Simba, benchi lao la ufundi na Mashabiki wote ni wezi sana[emoji16][emoji16]
Nipo hapa bebiiiii, msimbazi chama kubwaa.Bebii kumbe na wewe ni wa msimbazi Kama Mimi..Safi sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kachunge ng'ombe wa Mayele leo ni zamu yako.
Kwahyo umekimbia Uzi wako wa TRA.. ety[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu yakizidi kamuone prof Janabi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha mno wee, nimeucheza pia.Ameanza Jana kufuatilia mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata kule nawa support tyuuu, hata sihusiki na kada ile mie.K
Kwahyo umekimbia Uzi wako wa TRA.. ety
Unajua me nilikuwa nadhani utakuwa na umri mkubwa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hata kule nawa support tyuuu, hata sihusiki na kada ile mie.
Na pia bado muda wangu wa kupambana na ajira.