Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukapigwa. Unataka nisemeje?
Huu utabiri wako, ulimaanisha msimu huu 2023/24 au uliopita 2022/23?. Maana maneno Yako ya wakati ule ni kama ulimaanisha msimu uliopita. Ila maneno ya Leo ni kama umehamia msimu huu.Nimefuatilia mijadala kuhusu FIFA Club World Cup, nikaukumbuka uzi huu niliuleta toka January.
Yaani hapo Che Malone, Ngoma, Benchikha walikuwa bado hawajaja na maingizo mapya machache katika dirisha hili dogo nayo yalikuwa bado. Tuendelee kula mtori, nyama zipo chini
😂😂Labda CUF ya lipumba
Hapo anatafuta gia ya kutokea, utabiri aliuleta katika mashindano ya msimu wa 2022/2023. Ndio uone akili yake ilivyondogoHuu utabiri wako, ulimaanisha msimu huu 2023/24 au uliopita 2022/23?. Maana maneno Yako ya wakati ule ni kama ulimaanisha msimu uliopita. Ila maneno ya Leo ni kama umehamia msimu huu.
2023 kabla huu mwaka huaja ishaHuu utabiri wako, ulimaanisha msimu huu 2023/24 au uliopita 2022/23?. Maana maneno Yako ya wakati ule ni kama ulimaanisha msimu uliopita. Ila maneno ya Leo ni kama umehamia msimu huu.
Hapo ndio kanishangaza Mimi. Ndio maana nimeomba ufafanuzi wake.Hapo anatafuta gia ya kutokea, utabiri aliuleta katika mashindano ya msimu wa 2022/2023. Ndio uone akili yake ilivyondogo
Kimpira hakuna msimu unayoisha December2023 kabla huu mwaka huaja isha
Kombe la mapinduziKimpira hakuna msimu unayoisha December
Unaelewa maana ya msimu mkuu? Haya, ilo mapinduzi Linaisha December ngapi?Kombe la mapinduzi
Msikute mnachati na mtu katoka kukesha barUnaelewa maana ya msimu mkuu? Haya, ilo mapinduzi Linaisha December ngapi?
😅😅😅 Sijui wazo la kombe la mapinduzi kalitoa wapiMsikute mnachati na mtu katoka kukesha bar
Ndio ujue afadhali wawili wenye akili kuliko wote kuwa mbumbumbu😅😅😅 Sijui wazo la kombe la mapinduzi kalitoa wapi
Wacha wewe! Hao wachezaji 15 wa kusumbua CAF bado wapo? 😁 Haya mimi naanzisha mkeka! Malizia waliobakia hapo chini.Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja nikwambie kitu. Inashangaza watu wanalilia wachezaji waondolewe ambao hata siyo tegemeo kwa timu.
Championship team katika mashindano yoyote, vilabu, taifa inahitaji wachezaji 13 hadi 15 tu wa kutegemea, yaani first 11 na sub 2 hadi 4 zinazoweza kuongeza nguvu pale inapohitajika. Simba timu hiyo wanayo.
Ambacho mimi ningefanya ni kuangalia jinsi ya kuboresha upande wa beki wa kushoto, mipira mingi inapotea kutokea kule. Ikibidi nngemsogeza Zimbwe mbele kama winger anaweza kufanya vizuri zaidi position hiyo. Kwa kuongezea tu Outtara ni mchezaji mzuri ni suala la kuangalia tunamtumiaje.
Ila wachezaji 15 wa kusumbua CAF tunao.