Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmecheza na timu gan?[emoji23]Sio kwa simbaa hii niliyoiangalia Jana View attachment 3073853
Huu ni uchokozi 😄😄Mmecheza na timu gan?[emoji23]
Hahaha simba ya jana mbona ilikuwa imechoka hivyo. Yaani ufungaji wa kimdebwedo. Timu ni Yanga tu. Simba walikutana jana na vibondeSio kwa simbaa hii niliyoiangalia Jana View attachment 3073853
Bado Mapema sana mkuu!! Muda utazungumza ,Hahaha simba ya jana mbona ilikuwa imechoka hivyo. Yaani ufungaji wa kimdebwedo. Timu ni Yanga tu. Simba walikutana jana na vibonde
Mbona hakutimuliwa ngao ya jamii huyu akifungwa mechi 3 mnamtimua bado 2BREAKING NEWS...!!!
Ikitokea Club wa Simba kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.
Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0
Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]