Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

Ndo Nan mkuu
1724052411050.jpg
 
Ikitokea Club wa Simba kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.

Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0

Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]

Yaani wewe unawadhalilisha Mashabiki wa Yanga, Kuposti kila thread kumuongelea Mpinzani wako kila nyuzi nikuonesha kuna kitu kwenye akili yako kina kasoro. Siku nyingine mtaje hata Tanzania Prison au Ihefu wewe kila siku in Simba tu??
Unajiaibisha na unaonekana wewe ni Shabiki sio Mwanaspoti
 
Ikitokea Club wa Simba kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.

Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0

Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii

hahahahahahahahahahahahahaha........
duh!
uangalie mkuu hayo mazoezi yako.
 
Itachukuwa mwaka mwingine simba kufikia ile ya 2017-2020.

Unaona kabisa wachezaji hawana speed, wanacheza kichovu sana...tabora walikuwa na makosa mengi sana....ilipaswa kuadhibiwa sana...
 
Kumbuka hiyo simba inaongoza ligi baada ya kucheza mchezo mmoja! Na Yanga inashika mkia. Kwa hiyo sisi mashabiki wa simba tunaamini Simba ndiye bingwa msimu huu, na hatuwezi kufungwa trna na yanga.
 
Kumbe uliona
 
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom