Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ikitokea Club ya Simba SC kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.

Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0

Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]


 
Mbona hakutimuliwa ngao ya jamii huyu akifungwa mechi 3 mnamtimua bado 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…